Leo viongozi wa Yanga Kaimu Katibu Mkuu Dismas Ten na Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz wanasherehekea kumbukumbu za siku zao za kuzaliwa
Wakati Nugaz akiwa ndio kwanza ameanza majukumu yake Yanga, kazi ya Ten kwenye klabu ya Yanga inafahamika
Tunawatakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwao
ADVERTISE HERE