Mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga wamepangwa na Pyramids Fc ya Misri mchezo wa mtoano kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika
Droo ya hatua hiyo imefanyika leo nchini Misri
Hii ni mara ya kwanza kwa Pyramids Fc kushiriki michuano hii namba mbili kwa ukubwa barani Afrika katika ngazi ya vilabu
Mchezo wa kwanza baina ya timu hizo utapigwa jijini Dar es salaam Oktoba 27 na mchezo wa marudiano kupigwa nchini Misri Novemba 03
ADVERTISE HERE