Yanga yapangwa 'Port A' droo kombe la Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Oct 2019
Yanga yapangwa 'Port A' droo kombe la Shirikisho

Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetoa mpangilio wa timu kuelekea droo ya hatua ya mtoano ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika ambayo itafanyika leo Jumatano Oktoba 09 nchini Misri

Kulingana na mpangilio uliotolewa na CAF, Yanga imepangwa chungu cha kwanza 'Port A' pamoja na timu za Gor Mahia, Asante Kotoko, Enyimba, Horoya AC, KCCA, UD Songo na Zamalek/Generation Foot

Kwa maana hiyo Yanga haiwezi kupangwa na moja ya timu zilizoainishwa hapo juu na badala yake itapangwa na moja ya timu kutoka chungu cha nne 'Port D' ambacho kina timu za Bandari Fc, Bidvest Wits, DC Motema Pembe, ESAE, San Pedro, Paradou AC, Proline Fc, Pyramids, Triangle Fc na TS Galaxy

Droo itafanyika saa mbili usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’