GSM kuendeleza utaratibu wa kununua alama tatu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Oct 2019
GSM kuendeleza utaratibu wa kununua alama tatu Yanga

Ushindi wa jana dhidi ya Coastal Union ulikuwa ni mwanzo tu, kampuni ya GSM imeahidi kuendeleza utaratibu wa kununua alama tatu ambazo Yanga itakusanya kwenye kila mchezo wa ligi

Akizungumza jana wakati wakikabidhi kitita cha Tsh Milioni 10 baada ya Yanga kuifunga Coastal Union bao 1-0, mwakilishi wa GSM Injinia Said, alisema wao ni sehemu ya familia ya Yanga hivyo matokeo yoyote ambayo timu hiyo inapata, yanawahusu

"Sisi kama GSM ni sehemu ya familia ya Yanga SC, Matokeo mazuri ni furaha kwetu na yakiwa mabaya ni masikitiko yetu pia," alisema

"Tumeona licha ya kuwa sisi ni wadhamini pia tunaweza kufanya kitu kingine ambacho kikawa chachu , nakabidhi pesa milioni 10 kufuatia ushindi wa leo na naahidi kuanzia leo tutakuwa na utaratibu wa kununua alama tatu"

Nahodha Msaidizi wa Yanga Juma Abdul alipokea fedha hizo kwa niaba ya wachezaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’