VPL FT : Yanga 1-0 Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2019
VPL FT : Yanga 1-0 Coastal Union

Yanga imefanikiwa kupata alama tatu muhimu leo kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union

Kiungo Abdulaziz Makame 'Bui' ndiye aliyekuwa shujaa wa Yanga akifunga bao pekee kwenye dakika ya 51

Makame aliunganisha mpira wa kichwa ambao mlinzi wa Coastal Union aliuokoa ukiwa tayari umevuka mstari

Yanga ilicheza vizuri kwenye kipindi cha kwanza ikitawala mchezo changamoto ikiwa kwenye umaliziaji

Katika kipindi cha pili ilitengeneza nafasi kadhaa moja ya nafasi ikipotezwa na Mrisho Ngasa

Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kwa Yanga kuibuka na ushindi ili kurejesha morali ya kikosi

Hata hivyo kocha Mwinyi Zahera alilazimika kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi chake leo kutokana na baadhi ya wachezaji muhimu kukosekana kutokana na sababu mbalimbali

Lamine Moro, Patrick Sibomana, Sadney Urikhob, Papy Tshishimbi na Mohammed Issa 'Banka' ni miongoni mwa wachezaji waliokosekana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’