Wanne Yanga kuikosa Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Oct 2019
Wanne Yanga kuikosa Coastal Union

Beki kisiki Lamine Moro huenda akaukosa mchezo wa ligi kuu leo dhidi ya Coastal Union baada ya kupata majeraha katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania Alhamisi

Pamoja na Lamine wengine ambao watakosekana leo ni Patrick Sibomana, Mohammed Issa 'Banka' na nahodha Papy Tshishimbi ambaye ni mgonjwa

Kocha Mwinyi Zahera huenda akamrejesha Ally Mtoni kucheza safu ya ulinzi wa kati sambamba na Kelvin Yondani na pengine akampa nafasi ya Muharami Issa 'Maecelo' kucheza namba tatu

Lakini pia yupo Ally Ally ambaye anaweza kucheza sambamba na Yondani

Yanga inasaka ushindi wake wa kwanza ligi kuu ya Vodacom baada ya Alhamisi kulazimishwa sare ya mabao 3-3 na Polisi Tanzania

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’