Mchezo wa kwanza Shirikisho kupigwa October 27

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Oct 2019
Mchezo wa kwanza Shirikisho kupigwa October 27

Droo ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika pamoja na hatua ya mtoano michuano ya kombe la Shirikisho, itafanyika Jumatano ijayo October 09 jijini Cairo, Misri

Ni siku hiyo ambayo Yanga itamfahamu mpinzani watakayekutana nae katika mchezo wa kusaka nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho

Kulingana na ratiba ya CAF, mchezo wa kwanza utapigwa October 27 jijini Dar es salaam na mchezo wa marudiano kupigwa Novemba 03 ugenini

Timu 16 ambazo zitaibuka na ushindi katika michezo hiyo zitatinga makundi

Yanga ina uzoefu katika hatua hii kwani katika kipindi cha miaka mitatu, imecheza makundi mara mbili

Miongoni mwa timu ambazo Yanga inaweza kupangwa nazo ni Paradou AC (Algeria), ESAE (benin), DC Motema Pembe (DRC), FC San Pedro (Ivory Coast ), Pyramids ( Egypt ), Bandari (Kenya ), Bidvest Wits (South Africa ), TS Galaxy (South Africa ), Proline (Uganda ) na Triangle United (Zimbabwe)

 

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’