Metacha Mnata, Kelvin Yondani, Feisal Salum na Abdulaziz Makame wamejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ambacho kinajiandaa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda
Mchezo huo utapigwa Oktoba 14 nchini Rwnada
Kaimu kocha Mkuu wa STars Etienne Ndayiragije ameita wachezaji 28

ADVERTISE HERE