Kiungo Pius Buswita amekabidhiwa kitita cha Tsh 500,000/= na wanachama wa Yanga kutoka kundi la WhatsApp (Yanga for Life) baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar.
Kiungo huyo anakuwa mchezaji wa pili kulamba laki tano tangu kuanzishwa kwa tuzo hiyo mara ya kwanza ilienda kwa Kelvin Yondani.
Ni utaratibu mzuri na wa kupongezwa kwani badala ya kulalamika tu kuwa haturidhishwi na kiwango cha Yanga, zawadi hizi zinawapa motisha wachezaji na zinaongeza kujituma zaidi.

ADVERTISE HERE