Mwandila kuiongoza Yanga dhidi ya Polisi Tanzania

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Oct 2019
Mwandila kuiongoza Yanga dhidi ya Polisi Tanzania

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera kesho ataishuhudia timu yake akiwa jukwaani wakati itakapokuwa ikiikabili Polisi Tanzania

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Zahera kesho ataanza kutumikia adhabu ya kufungiwa mechi tatu

Akizungumza na waandishi wa habari leo, Bumbuli amesema Zahera pia atakosa mchezo wa Jumapili dhidi ya Coastal Union

Zahera alifungiwa michezo mitatu na Bodi ya Ligi baada ya kulalamikia ratiba ya timu yake iliyoshuka dimbani siku moja baada ya kurejea kutoka Botswana

Kuhusu maandalizi ya mchezo, Bumbuli amesema timu iko tayari kwa mchezo huo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Antonio Nugaz, Afisa Uhamasishaji wa Yanga amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao katika mchezo huo ambao matokeo ya ushindi ndio hitaji kuu la Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’