Mshambuliaji wa Yanga Juma Balinya ameteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Uganda msimu uliopita
Balinya aliibuka kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda akifunga mabao 21
Mchezaji huyo alikuwa nyota wa timu ya Polisi, usajili wake Yanga ni matokeo ya kazi nzuri aliyofanya kwenye timu hiyo
Amekuwa na mwanzo usioridhisha Yanga lakini naamini hilo halimuondolei sifa ya kuwa mmoja wa washambuliaji bora kwenye ukanda wa Afrika Mashariki msimu uliopita
Hakuna shaka atarejesha makali yake, mchango wake utaonekana Yanga
ADVERTISE HERE