Yanga inaweza kurudi Zambia Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Sep 2019
Yanga inaweza kurudi Zambia Shirikisho

Zanaco Fc ya Zambia ni miongoni mwa timu ambazo tayari zimetinga hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho na inaweza kupangwa na Yanga kwa mchezo wa mtoano kusaka nafasi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo

Timu tisa tayari zimefuzu hatua ya 16 bora ya michuano hiyo nyingine saba zikitarajiwa kupatikana leo

Timu nyingine ambazo tayari zimefuzu na zinaweza kupangwa na Yanga ni DC Motema Pembe (DRC), Bidvest Wits (Afrika Kusini), Triangle United (Zimbabwe), Proline (Uganda), Ts Galaxy (Afrika Kusini), Esae (Benin), RSB Berkane (Morocco) na Hassania Agadir (Morocco)

Nyingine ambazo huenda zikafuzu leo ni pamoja na Al Masry (Misri) ambayo inarudiana na Malindi Fc ikiwa imeshinda 4-0 kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Zanzibar

Ben guerdane (Tunisia), Enugu (Nigeria), Sfaxien (Tunisia) na Djoliba (Mali)

Mechi zinazopigwa leo;

1) Al Masry(Egypt) vs Malindi(Zanzibar)

2)Ben Guerdane (Tunisia) vs Bandari(Kenya)

3)San Pedro (Ivory cost) vs Santoba(Guinea)

4)CR Belouizdad(Algeria) vs Pyramids (Egypt)

5)Enugu rangers (Nigeria) vs Pelican(Gabon)

6)Djoliba(Mali) vs Maranatha(Togo)

7)Sfaxien (Tunisia) vs Paradou(Algeria)

Droo ya mtoani itafanyika October 09 Cairo, Misri

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
22m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’