Uongozi wa Yanga umetambua juhudi za wadau wake kwa kuiwezesha timu kusimama kutoka kwenye changamoto za kiuchumi
Aidha baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga imewataka wapenzi, wanachama na mashabiki wake kuendeleza umoja kuelekea michuano ya kombe la Shirikisho
"Wananchi safari yetu ya UMOJA, MSHIKAMANO na MALENGO inaendelea, tulianzia kwenye kuichangia timu, Tukanogesha kwa Tukio la Kihistoria la KubwaKuliko TukafanikiwaKwa pamoj"
"TukaFungaKazi na KuKusanyaKijiji katika WikiYaMwananchi2019 tulifunika"
"Hatukuishia hapo. Tumeingia Klabu Bingwa Afrika na tumepambana vilivyo.. #MsemajiKasema, #SisiSiWao #Wakimataifa #BadoTupoSanaSasa Tunaelekea #KombeLaShirikisho #BaraniAfrika"
"Tuendelee kusimama pamoja na wachezaji na timu yetu. Tujipongeze kwa juhudi zetu mpaka kufika hatua hii"