Kaseke aanza Yanga ikiikabili Zesco

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Sep 2019
Kaseke aanza Yanga ikiikabili Zesco

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo amemuanzisha kiungo mshambuliaji Deus Kaseke katika kikosi kinachoivaa Zesco United kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa

Zahera amefanya mabadiliko madogo ya kikosi chake kilichocheza mchezo wa kwanza jijini Dar es salaam ambapo Kaseke amechukua nafasi ya Mohammed Issa 'Banka'

Aidha upande wa kulia Zahera amemuanzisha beki Ally Ally kuchukua nafasi ya Mapinduzi Balama

Mshambuliaji Juma Balinya leo ameanzia benchi ukiwa ni mchezo wa pili mfululizo

Zahera ameanza na kikosi ambacho kitakuwa imara kwenye ulinzi lakini pia kuwa na uwezo wa kushambulia kwa haraka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
21h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’