Kufuatia kukosekana kwa Paulo Godfrey na Mapinduzi Balama, beki Juma Abdul leo huenda akapata nafasi ya kuanza kuwakabili Zesco
Abdul anafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kupiga krosi zenye 'macho'
Jana alishiriki katika mazoezi ya mwisho ya maandalizi yaliyofanyika uwanja wa Ndola (Levy Mwanawasa)


ADVERTISE HERE