Zahera ashitukia baridi la Ndola

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Sep 2019
Zahera ashitukia baridi la Ndola

Awali Yanga ilipanga kuweka kambi ya muda katika jiji la Lusaka kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Levy Mwanawasa

Hata hivyo kocha Mwinyi Zahera alibadili 'gia angani' na kuagiza kikosi chake kielekee Ndola moja kwa moja baada ya kubaini hali ya hewa na mji huo ni toauti na Lusaka

Kwa sasa mji wa Ndola una hali ya hewa ya baridi inayofikia nyuzi joto 20

Bila shaka siku tatu zitatosha kuwafanya wachezaji wazoee hali hiyo hivyo kuwa na mchezo mzuri hapo kesho

Hali ya hewa ya Zambia haina tofauti na Botswana ambako Yanga iliweza kuichapa Township Rollers katika uwanja wake wa nyumbani

Yanga leo itafanya maandalizi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa ambao utatumika kesho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
2h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’