Safari ya Ndola imeanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2019
Safari ya Ndola imeanza

Msafara wa mashabiki wa Yanga kutoka jijini Dar es salaam kuelekea Zambia tayari uko njiani ambapo utaungana na msafara mwingine wa mashabiki ambao wataianzia safari Mbeya mjini na Tunduma

Mabasi matano yanapeleka mashabiki Ndola Zambia ambako ndiko mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa kati ya Zesco dhidi ya Yanga utapigwa

Kila la kheri na safari njema kwa mashabiki wote waliojitokeza kwenda kuiunga mkono Yanga nchini Zambia

Uwepo wa mashabiki wa Yanga uwanjani Jumamosi utaongeza ari ya wachezaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’