Mkwasa arudishwa kivingine Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2019
Mkwasa arudishwa kivingine Yanga

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa ameteuliwa kuwa Katibu wa Kamati ya Ufundi iliyoteuliwa jana na Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla

Kamati hiyo iliyosheheni watu wa mpira, itakuwa ikifanya kazi kwa ukaribu na benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha Mwinyi Zahera

Mkwasa alijiuzulu nafasi ya ukatibu Mkuu wa Yanga baada ya kupata maradhi ya moyo yaliyomlazimu kwenda India kutibiwa

Sasa amerejeshwa tena katika viunga vya Yanga akikabidhiwa majukumu ambayo pengine atakuwa na mchango zaidi kwa kuwa ni taaluma yake

Kamati hiyo itakayoongozwa na Mwenyekiti Salim Rupia na Makamu Mwenyekiti Dominick Albinus, imejumuisha wajumbe kama Kenny Mwaisabula ambaye pia ni kocha

Pia wamo Said Maulid, Ally Mayay, Sekilojo Chambua, Sunday Manara na Abeid Mziba ambao waliwahi kutamba wakiwa wachezaji wa Yanga

Wengine ni Dk Jonas Tiboroha, Ally Msingwa na Kanali Mstaafu Iddi Kipingu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
57m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’