Ushauri wa bure kwa Chikupe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2019
Ushauri wa bure kwa Chikupe

Uongozi wa Yanga umeeleza kuwa tayari kumlipa beki Andrew Vicent fedha zake anazodai kwa awamu

Hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela alisema ni wachezaji wengi wenye malimbikizo ya madai kwa klabu hiyo

Lakini wamekubali kulipwa fedha zao taratibu huku wakiendelea na majukumu yao

Aidha Mwakalebela alisema wachezaji wengine wamehama Yanga lakini wana madai ambayo klabu inawalipa kwa awamu

Mkongwe Kelvin Yondani na Juma Abdul ni miongozi mwa wachezaji wenye madai lakini wamerejea kikosini baada ya makubaliano ya kulipwa kufikiwa

Pengine ni wakati Chikupe nae kufikiria umuhimu wa kulinda kipaji chake kwa kurejea kikosini kuendelea na majukumu yake

Kwa kuwa uongozi wa Yanga umekubali kumlipa, ni vyema akarejea kwani athari ya kutocheza ni kubwa zaidi

cut

Lakini pia kuendelea kugoma kunamkosesha mapato endelevu

Uongozi wa Yanga hautakuwa tayari kumlipa mshahara wakati hayuko kazini

Sasa ni zaidi ya miezi mitatu hayupo kazini, muda huo unaweza kuwa sababu kwa Yanga kuvunja mkataba wake bila ya malipo

Mgogoro huu hautakwisha kwa yeye kubaki nyumbani, labda kama hana mpango wa kuichezea tena Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’