Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, ameteua Wajumbe 12 kuunda Kamati mpya ya Ufundi
Salum Rupia ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo huku Dominick Albinus akiwa Makamu Mwenyekiti

ADVERTISE HERE