Msafara wa kwanza wa wachezaji 10 na kocha Mwinyi Zahera umeondoka leo asubuhi kuelekea Ndola nchini Zambia kwa ajili ya mchezo dhidi ya Zesco
Msafara huo umeondoka kwa Ndege ya KQ
Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga, msafara wa pili ambao utajumuisha wachezaji waliobaki pamoja na benchi la ufundi, utaondoka saa mbili usiku
ADVERTISE HERE