Wanaotaka kwenda Zambia malipo mwisho Jumanne

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2019
Wanaotaka kwenda Zambia malipo mwisho Jumanne

Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki wake ambao wangependa kusafiri kwenda Zambia kuiunga mkono timu kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco, wakamilishe malipo ambapo zoezi hilo litahitimishwa leo Jumanne

Afisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema gharama ya safari hiyo kwenda na kurudi ni Tsh 150,000/-

"Mwisho wa malipo ya safari kwa njia ya barabara ni kesho(leo) saa tano,na kigezo uwe na hati ya kusafiria,chanzo ya homa ya manjano na gharama ya safari kwenda na kurudi ni 150,000/ =," amesema

Wakati kikosi cha Yanga kikitangulia leo, msafara wa mashabiki utaondoka kesho Alhamisi Septemba 25 tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi, Septemba 28

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’