Balama aondolewa kikosi kinachokwenda Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2019
Balama aondolewa kikosi kinachokwenda Zambia

Afisa Habari wa Yanga Hassani Bumbuli leo ametangaza majina ya wachezaji 19 ambao wataondoka kuelekea nchini Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Zesco United

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Septemba 28 kwenye uwanja wa Levy Mwanawasa, Ndola Zambia

Miongoni mwa wachezaji waliotangazwa leo, jina la Mapinduzi Balama limeondolewa kutokana na kiungo huyo kuwa majeruhi

Wengine wanaobaki ni Paulo Godfrey, David Molinga, Juma Mahadhi, Cleofas Sospeter, Mustafa Suleyman na Issa Bigirimana

Wanaosafiri

Metacha Mnata

Farouk Shikalo

Ali Mtoni

Lamine Moro

Kelvin Yondani

Ali Ali

Juma Abdul

Mwarami Issa

Papy Tashishimbi

Feisal Salum

Mohammed Issa

Abdulaziz Makame

Sadney Khoetage

Juma Balinya

Patrick Sibomana

Mrisho Ngasa

Maybin Kalengo

Deus Kaseke

Jaffar Mohammed

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’