Zahera awahakikishia mabosi Yanga, patachimbika Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Sep 2019
Zahera awahakikishia mabosi Yanga, patachimbika Zambia

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewatoa hofu mabosi wa timu hiyo kuwa wanakwenda Zambia kupigania matokeo ambayo yatawapeleka hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Zesco kwenye mchezo wa nyumbani, Yanga inaelekea Zambia kesho huku ikihitaji matokeo ya ushindi au sare ya kuanzia mabao mawili

Inaelezwa mwishoni mwa wiki mabosi wa Yanga walikutana na Zahera kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mwenendo wa timu na maandalizi  kuelekea mchezo dhidi ya Zesco

Mcongomani huyo amewahakikishia kuwa hawaendi Zambia kutembea, wamepania kushinda ili waweze kutinga hatua ya makundi

Yanga itakwenda Zambia na wachezaji 22 pamoja na viongozi saba wa benchi la ufundi

Mabingwa hao wa kihistoria walitanguliza baadhi ya viongozi nchini Zambia kuweka mambo sawa kabla ya kikosi kuwasili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’