Kikosi cha Yanga kitashuka katika dimba la Azam, Chamazi kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya KMC, Jumapili, Oktoba 08.
Viingilio vya mchezo huo, VIP ni Tsh 5000/- wakati mzunguuko ni Tsh 3000/-
Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom, mzunguuko wa sita dhidi ya Kagera Sugar.
Aidha Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwassa amesema mapato yatakayopatikana katika mchezo huo yataelekezwa katika uboreshaji wa uwanja wa Yanga, Kaunda.

ADVERTISE HERE