Bigirimana akanusha kurogwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Sep 2019
Bigirimana akanusha kurogwa Yanga

Mshambuliaji wa Yanga Issa Bigirimana amekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na blogs kuwa ametoa tuhuma za kurogwa Yanga

Bigirimana amekuwa akikabiliwa na majeraha mfululizo tangu alipotua Yanga, amesema majeraha ni jambo la kawaida na linaweza kumpata mchezaji yeyote

"Naomba mashabiki wa Yanga wazipuuze habari zinazoenezwa na baadhi ya blogs zikieleza kuwa Mimi (Issa) namshutumu mchezaji mwenzangu kuniroga"

"Naomba mtambue mimi ni proffesional player na najitambua, toka nimefika hapa sijawa na muda mzuri sababu ya kukumbwa na majeruhi lakini sasa nimerejea na kuanza mazoezi"

"Ni hali ya kawaida tu ila karibuni ntarejea katika uwezo wangu na kuwapa furaha," amesema

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’