Kazi ya uhamasishaji imepata mwenyewe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Sep 2019
Kazi ya uhamasishaji imepata mwenyewe

Uongozi wa Yanga leo umewathibitisha rasmi Afisa Habari na Mawasiliano Hassani Bumbuli na Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kupitia kwa Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla

Wengi wamepongeza kuajiriwa kwa Nugaz kuwa Afisa Uhamasishaji kwani bila shaka ataitendea haki nafasi hiyo

Nugaz amekuwa mhamasishaji Yanga hata kabla ya kupewa nafasi hiyo

Ameshiriki na kusimamia kikamilifu shughuli mbalimbali za klabu ya Yanga

Yanga imekuwa ikimtumia Nugaz hata katika kuandaa matangazo mbalimbali ya redio na TV

Hakuna shaka Nugaz ataleta kitu tofauti Yanga ili kuwafanya mashabiki wawe na mwamko wa kuipa sapoti timu yao

Najua jambo hilo linakwenda sambamba na matokeo mazuri ya timu, lakini ni wazi ni uamuzi sahihi kwa Yanga kuajiri mtu ambaye yeye atakuwa akifanya kazi na mashabiki zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’