Aliyekuwa kiungo wa Chuoni Fc ya visiwani Zanzibar Ibrahim Rajab 'Jeb', amefariki dunia leo
Jeba aliyewahi kuzitumikia Azam Fc, Mtibwa Sugar pamoja na timu ya Taifa, alirejea kuendeleza maisha yake ya soka kwao Zanzibar
Chuoni Fc imethibitisha kifo cha kiungo huyo aliyewahi kutamba ligi kuu ya Tanzania Bara

Jeba alitamba katika kikosi cha Mtibwa Sugar kilichowatoa nyota kama Andrew Vicent (Yanga), Shiza KIchuya (ENPPI-Misri) na Mzamiru Yassin (Simba)

Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, AMEN..
ADVERTISE HERE