Mwananchi yeyote anayetaka kusafiri na Yanga kwenda Ndola awe na vitu vifuatavyo;
1). Awe na Passport ya muda mrefu au mfupi kutoka Idara ya Uhamiaji
2). Awe na kadi ya chanjo ya homa ya Ini
3). Awe na pesa binafsi ya kujikimu kwa ajili ya malazi na chakula
4). Awe na pesa za Kitanaznia Sh 150,000/- kwa ajili ya nauli ya kwenda na kurudi. Pesa hiyo itumwe kabla ya Septemba 22 kwa mratibu wa safari Bw. Madaraka Marumbo(Mjumbe Kamati ya Hamasa)
Tuma kupitia 0655653434 (Tigopesa), 20410020561 (NMB), 0769653434(Mpesa)


ADVERTISE HERE