Yanga kwenda na mashabiki Zambia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Sep 2019
Yanga kwenda na mashabiki Zambia

Uongozi wa Yanga unaandaa utaratibu kwa mashabiki ambao wangependa kuungana na timu hiyo nchini Zambia kwenye mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United

Mchezo huo utapigwa Septemba 28 uwanja wa Levy Mwanawasa jiji la Ndola

Kutakuwa na usafiri wa basi ambao utawapeleka mashabiki na kuwarudisha nchini baada ya mchezo

Yanga imepania kupata matokeo nchini Zambia, hii ni nafasi adimu kwa mashabiki ambao wangependa kuwa sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa huko Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’