Boxer, Balama majeruhi, nafasi kwa Abdul?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Sep 2019
Boxer, Balama majeruhi, nafasi kwa Abdul?

Kiungo Mapinduzi Balama alishindwa kumaliza mchezo wa juzi dhidi ya Zesco baada ya kuumia kwenye dakika ya 75 na nafasi yake kuchukuliwa na Ally Ally

Uongozi wa Yanga umesema Balama anafanyiwa uchunguzi zaidi wa jeraha lake ili atibiwe

Balama alitumika kama beki wa kulia kwenye mchezo huo kutokana na Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye hucheza nafasi hiyo kuwa majeruhi

Wakati zikiwa zimesalia siku 10 kuelekea mchezo wa marudiano, Yanga inalazimika kupata mbadala wa wachezaji hao kwani kuna uwezekano mdogo wanaweza kuwa 'fit' kuwahi mchezo wa Zambia

Hii ni nafasi kwa mkongwe Juma Abdul kurejea kikosi cha kwanza nchini Zambia

Baada ya kumaliza msiba wa mama yake, Abdul alirejea katika majukumu yake kabla ya mchezo wa juzi dhidi ya Zesco

Jana alishiriki program ya mazoezi ya Gym

Abdul bado hajacheza mchezo wowote wa kimashindano msimu huu pengine kutoshiriki kwake mazoezi ya mwanzo wa msimu mkoani Morogoro kumechangia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
10h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’