Jana baada ya mazoezi ya asubuhi, jioni wachezaji wa Stars walipewa mazoezi maalumu ya kuogelea ili kuondoa uchovu katika miili yao.
Ibrahim Ajib Migomba ni miongoni wa wachezaji wa Stars walionekana kufurahia mazoezi hayo.

Mbali ya Ajib, wachezaji wengine wa Yanga walioitwa kwenye kikosi cha Stars na kocha Salum Mayanga ni Ramadhani Kabwili, Gadiel Michael, Kelvin Yondani na Raphael Daudi.

ADVERTISE HERE