Kalengo alipokutana na Lwandamina

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Sep 2019
Kalengo alipokutana na Lwandamina

Juzi mshambuliaji wa Yanga Maybin Kalengo alipata nafasi ya kucheza dhidi ya waajiri wake wa zamani klabu ya Zesco United kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa uliomalizika kwa sare ya bao 1-1

Kalengo alitua Yanga kwenye dirisha la usajili uliopita akitokea klabu hiyo aliyoanza kuitumikia akiwa na umri wa miaka 17

Baada ya mchezo, Maybin alipata nafasi ya kumsalimu kocha wake wa zamani George Lwandamina ambaye inaelezwa ndiye aliyetoa ruhusa kwa kinda huyo mwenye umri wa miaka 20 kujiunga na Yanga

Aidha siku hiyo pia dimbani alikabiliana na mjomba wake (ndugu kabisa wa mama yake) Winstone Kalengo ambaye aliingia mwishoni mwa kipindi cha kwanza akiwa amevalia jezi namba 10

Maybin ametoka kwenye familia ya wanasoka maarufu nchini Zambia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’