Kaimu Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Etienne Ndayiragije ameita wachezaji 25 watakaojiandaa na mchezo wa kusaka nafasi ya kucheza fainali za michuano ya CHAN inayohusisha wachezaji wa ndani
Metacha Mnata, Kelvin Yondani, Mohammed Issa, Abdulaziz Makame na Feisal Salum kutoka Yanga wamejumuishwa kwenye kikosi hicho
Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE