Yanga yaanzia Gym kuiwinda ZESCO United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Sep 2019
Yanga yaanzia Gym kuiwinda ZESCO United

Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga leo kimerejea mazoezini kikianza na program maalum ya maandalizi ya mchezo wa marudiano dhidi ya Zesco United

Mchezo huo utapigwa nchini Zambia, Septemba 28 katika uwanja wa Levy Mwanawasa ulio katika jiji la Ndola

Leo asubuhi wachezaji wa Yanga wameanzia Gym kuweka miili yao sawa

Kikosi cha kocha Mwinyi Zahera kina siku 11 za kujiandaa na mchezo huo ambao wanahitaji matokeo ya ushindi ili waweze kutinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’