Mashabiki wa Yanga wameendelea kuingia uwanja wa Taifa kuiunga mkono timu yao kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United ambao utaanza saa kumi jioni
Yanga ikiwa nyumbani leo, mashabiki wameanza kukaa majukwaa ambayo hutumiwa na mashabiki wa Simba



ADVERTISE HERE