Zahera abadili kikosi, viungo 'kibao'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2019
Zahera abadili kikosi, viungo 'kibao'

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera leo amefanya mabadiliko madogo ya kikosi chake kinachoikabili ZESCO United kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa

Ili kuhakikisha timu inakuwa imara katika kushambulia na kujilinda, Zahera amewaanzisha pamoja viungo Feisal Salum, Mohammed Issa, Abdulaziz Makame na Papy Tshishimbi

Aidha Mapinduzi Balama ameaminiwa kuanza nafasi ya ulinzi wa kulia kama ilivyokuwa kwenye mechi mbili za kirafiki ambazo Yanga ilicheza jijini Mwanza

Pia amemuanzisha Sadney kama mshambuliaji wa kati ambaye atasaidiwa na Papy Tshishimbi atakayecheza namba 10

Patrick Sibomana atashambulia akitokea upande wa kushoto kama ilivyo kawaida yake

Juma Balinya leo ameanzia benchi

Yanga inahitaji kushinda mchezo wa leo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’