Tunaisubiri ile Kamati ya TFF iwafungie na hawa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2019
Tunaisubiri ile Kamati ya TFF iwafungie na hawa

Suala la mavazi bado linaonekana kuwa 'kizungumkuti' kwani hakuonekani kuwa na mabadiliko yoyote

Jana kwenye mchezo wa ligi kuu kati ya Coastal Union dhidi ya KMC, makocha wa benchi la ufundi la Coastal Union kila mmoja alikuwa amevaa 'kivyake'

Baada ya Zahera kuadhibiwa kwenye mchezo wa kwanza, wengi wanasubiri kuona kama TFF itachukua hatua kwa hawa pia

Kama hilo halitafanyika basi, ule msemo kuwa sheria hiyo alitungiwa Zahera basi utaendelea kuaminiwa

Kwani uvaaji usio rasmi umekuwa ukiendelea kwa timu mbalimbali lakini adhabu alipewa kocha Mwinyi Zahera tu

Leo mashabiki wa Yanga wanakwenda uwanja wa Taifa wakitinga 'pensi' kuonyesha kumuunga mkono Zahera

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’