Leo ndio leo uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2019
Leo ndio leo uwanja wa Taifa

Ile siku ambayo Wanayanga walikuwa wakiisubiri kwa hamu hatimaye imewadia ambapo katika dimba la Taifa, watashuhudia mchezo wa kukata na shoka kati ya Yanga dhidi ya ZESCO United ambao utaanza saa kumi jioni

Baada ya kukosa kushiriki michuano ya Kimataifa kwa msimu mmoja, Yanga wamerejea, sasa wakilenga kutinga hatua ya makundi

Ushindi wa jumla dhidi ya ZESCO utatosha kuwapeleka hatua hiyo mabingwa hao wa kihistoria

Leo ni siku muhimu kwa mashabiki kuonyesha sapoti kwa timu yao, ushindi unapaswa uanze kupatikana nje ya uwanja

ZESCO wakiingia 'Kwa Mkapa' wakute uwanja 'umetapika', kisaikolojia watakuwa kwenye wakati mgumu

Hakuna shaka, Yanga imejipanga vilivyo, wachezaji wanafahamu ni mchezo ambao wanahitaji kushinda

Shamrashamra zitaanza mapema tu saa tano asubuhi kwa burudani mbalimbali uwanja wa Taifa

Serikali pamoja na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameitakia kheri Yanga kuweza kufanya vizuri kwenye mchezo wa leo

Bila shaka, Yanga leo itawapa furaha Watanzania hasa mashabiki wake kwa kuibuka na ushindi dhidi ya ZESCO United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’