Yanga yaiwinda Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Oct 2017
Yanga yaiwinda Kagera Sugar
Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi kwenye dimba la Uhuru kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa tano dhidi ya Kagera Sugar, Oktoba 14.

Mchezo huo utapigwa ugenini kwenye dimba la Kaitaba, mkoani Kagera.

Mshambuliaji Donald Ngoma amekosekana katika mazoezi hayo kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya misuli.

Yanga inayoshika nafasi ya sita kwenye msimamo wa ligi ikiwa imeachwa kwa tofauti ya alama mbili na vinara Simba, inafanya maandalizi ya nguvu kuhakikisha Kagera Sugar haitoki kwenye dimba lake la nyumbani.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
21h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’