Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam lALfajiri ya leo kikitokea Mwanza ambako kiliweka kambi ya maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United
Keshokutwa Jumamosi, Yanga itashuka katika uwanja wa Taifa kuikabili ZESCO United ukiwa ni mchezo wa mkondo wa kwanza kusaka nafasi ya kutinga hatua ya makundi
Tayari wapinzani wao ZESCO United wamewasili nchini
ADVERTISE HERE