Mashabiki Yanga waaswa kuchangamkia jezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2019
Mashabiki Yanga waaswa kuchangamkia jezi

Kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa Jumamosi dhidi ya ZESCO United, mashabiki wa Yanga wametakiwa kuchangamkia jezi za klabu hiyo ili siku ya mchezo kuupendezesha uwanja wa Taifa kwa rangi za kijani na njano

Kampuni ya GSM ambao ndio wasambazaji rasmi wa jezi za Yanga msimu huu, wameshusha mzigo wa kutosha

Jezi zitauzwa kwa bei elekezi ya Tsh 30,000/- na Tsh 20,000/- tofauti na bei ya awali ya Tsh 35,000/- na Tsh 30,000/-

Yanga imelenga kuuza angalau nakala milioni moja za jezi ambapo kwa kila jezi timu hiyo itaingiza Tsh 1,300/- na hivyo kuvuna Tsh Bilioni 1.3

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’