Mchezo namba 17 wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga ambao ulipangwa kupigwa Septemba 18, umeahirishwa ili kuipa Yanga nafasi ya kujiandaa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya ZESCO United

ADVERTISE HERE