Muro kuongoza Wana Arusha kuja kuimaliza ZESCO United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Sep 2019
Muro kuongoza Wana Arusha kuja kuimaliza ZESCO United

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh Jerry Muro ataongoza msafara wa mashabiki kutoka mkoa wa Arusha kuja jijini Dar es salaam Jumamosi ijayo kushuhudia mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya ZESCO United

Mabasi 10 yanatarajiwa kuwaleta mashabiki wa Arusha kwenye mchezo huo ambao mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji kushinda

Septemba 14 Wanayanga wamepania kuujaza uwanja wa Taifa kuwapa hamasa wachezaji kwenye mchezo huo

Muro Afisa Habari wa zamani wa Yanga, hivi karibuni alitangaza kuirejea kazi yake ya uhamasishaji

Alisema sasa anaifanya kwa kujitolea ili kurejesha hamasa ya Wanayanga kwa timu yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
6h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’