Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema atalipa fedha yote ya matibabu ya Mzee Ibrahim Akilimali ambaye hivi karibuni aliomba kuchangiwa na wadau ili akalipe deni analodaiwa na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Mzee Akilimali aliomba kuchangia Tsh 369,000/- ili aweze kulipa deni hilo na hatimaye aendee na matibabu yake
Katibu huyo wa Baraza la Wazee la Yanga amesema amechangiwa Tsh 34,000/- tangu alipotangaza zoezi hilo
Fedha iliyobaki ni Tsh 334,000/- ambazo Zahera ameahidi kuzilipa zote
ADVERTISE HERE