Zahera achangia Mil 1.5 Kubwa Kuliko Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2019
Zahera achangia Mil 1.5 Kubwa Kuliko Mwanza

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amechangia Tsh Milioni 1.5 kwenye tukio la kuichangia Yanga lililoandaliwa na Wanayanga wa Kanda ya Ziwa

Tukio hilo linalofahamika kama Kubwa Kuliko Kanda ya Ziwa, linafanyika ukumbi wa Maduhu Square jijini Mwanza

Zahera amealikwa kwenye hafla hiyo maalum ambayo wadau wa Kanda ya Ziwa wanaitumia 'kutunisha' mfuko wa klabu ya Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’