Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Amissi Tambwe ametua kunako klabu ya Fanya ya nchini Oman akijiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili
Tambwe ametua Fanja akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Fanja pia anacheza kiraka Mbuyi Twite ambaye misimu miwili iliyopita alikuwa katika klabu ya Yanga
Tambwe alitua nchini mwaka 2013, akacheza Simba kwa msimu mmoja kisha kusajiliwa na Yanga, timu aliyoitumikia kwa misimu minne
ADVERTISE HERE