Wanayanga waitwa uwanja wa Taifa, Septemba 14

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2019
Wanayanga waitwa uwanja wa Taifa, Septemba 14

Jumamosi ya Septemba  14 2019, mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga watashuka dimba la Taifa kuikabili ZESCO United katika mchezo wa kwanza, raundi ya kwanza michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Yanga ndio muwakilishi pekee wa Tanzania aliyebaki kwenye michuano hiyo baada ya watani zao Simba kutolewa mapema tu, hatua ya awali

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema Septemba 14 ni siku muhimu kwa Wanayanga, amewataka wajitokeze kwa wingi uwanja wa Taifa

Yanga ina dakika 180 za kupata ushindi dhidi ya ZESCO na kutinga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa

Kwa kutinga makundi tu, Yanga itajihakikishia sio chini ya Tsh Bilioni moja

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’