Beki mwandamizi wa Yanga Juma Abdul amepata msiba wa kufiwa na Mama yake mzazi leo
Uongozi wa Yanga umethitisha kutokea kwa msiba huo ambapo taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zitatolewa baadae
Tunampa pole Abdul, Mwenye ez Mungu ampe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE