Makipa wote Yanga wako timu za Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2019
Makipa wote Yanga wako timu za Taifa

Wakati Metacha Mnata akiwa na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ambacho jana kilipata sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Burundi, Farouk Shikalo ameitwa timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' itakayocheza mechi ya kirafiki dhidi ya Uganda

Kinda Ramadhani Kabwili yeye ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 20

Kwa maana hiyo Yanga inalazimika kuwajumuisha walinda lango wa kikosi chake cha pili (Yanga B) kwenye timu ya wakubwa

Mwishoni mwa wiki watacheza mchezo wa kirafiki jijini Mwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’